NEWS & ANNOUNCEMENTS
July 31, 2025
Comment (0)
Uchumi wa Tanzania umeendelea kuimarika kutoka asilimia 5.1 mwaka 2023 hadi kufikia asilimia 5.5 mwaka 2024, hali inayoonesha mwelekeo mzuri wa maendeleo ifikapo mwaka 2030. Kauli hiyo imetolewa Julai...
July 31, 2025
Comment (0)
KATIBU Mkuu Kiongozi wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhandisi Zena Ahmed Said ameagiza Jumuiya ya Wataalam wa Usimamizi wa Rasilimali Watu...
July 23, 2025
Comment (0)
Watumishi zaidi ya 700 kutoka kwenye taasisi mbalimbali za serikali wanatarajiwa kushiriki katika mkutano wa kwanza wa Jumuiya ya Waalamu wa Usimamizi wa RasilimaliWatu na Utawala katika Utumishi wa...
July 8, 2025
Comment (0)
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi akiteta jambo na Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa ofisi hiyo, Bi. Mary Mwakapenda wakati alipofika kukagua...
July 8, 2025
Comment (0)
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma 2025 inatoa huduma za kiutumishi katika viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma...
July 8, 2025
Comment (0)
KARIBU TUKUHUDUMIE: Wiki ya Utumishi wa Umma 2025...
July 8, 2025
Comment (0)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amezitaka Taasisi zote za Umma kuhakikisha zinatumia mifumo katika kuwahudumia wananchi kwa...
July 8, 2025
Comment (0)
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi ametembelea mabanda ya Wizara na Taasisi za Umma ili kuona huduma mbalimbali zinazotolewa na ofisi hizo pamoja...
July 8, 2025
Comment (0)
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu ametoa pongezi kwa Wizara na Taasisi za Umma kwa kuwa na utayari wa kuwahudumia...