HUDUMA ZA KIUTUMISHI ZATOLEWA NA OFISI YA RAIS-UTUMISHI KWENYE WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2025
HUDUMA ZA KIUTUMISHI ZATOLEWA NA OFISI YA RAIS-UTUMISHI KWENYE WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2025
HUDUMA ZA KIUTUMISHI ZATOLEWA NA OFISI YA RAIS-UTUMISHI KWENYE WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2025
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ameziagiza Taasisi za Serikali ambazo hazijajiunga na mfumo wa kielektroni utakaowezesha mifumo ya Serikali kuwasiliana (GovESB) kujiunga na mfumo huo
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi amewaasa watumishi wa ofisi hiyo kujitathmini wanapotoa huduma kwa umma wakiwemo Watumishi wa Umma kutoka katika taasisi