UCHUMI WA TANZANIA WAENDELEA KUKUA – NAIBU WAZIRI SANGU ATOA ONYO KWA WATUMISHI WASIOWAJIBIKA
Uchumi wa Tanzania umeendelea kuimarika kutoka asilimia 5.1 mwaka 2023 hadi kufikia asilimia 5.5 mwaka 2024, hali inayoonesha mwelekeo mzuri wa maendeleo ifikapo mwaka 2030. Kauli hiyo imetolewa Julai 24, […]